Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu.
Serikali hii ina mipango gani katika kuuza na kubinafsha rasimali na ardhi ya Tanganyika kwa kuingia mikataba ambayo...