Salaam,
Naulizia kuhusu hili kundi la watu laki kadhaa ambao watakuwa vyuoni mwezi na tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wengi wamejiandikisha kwenye vituo vilivyopo majumbani kwao ambapo walikuwepo kabla vyuo havijafunguliwa. Hawa watu ni wengi sana(vyuo vya chini, kati na vyuo vikuu)...