Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya...
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni wahusika wa ule mgahawa wanaangalia taarifa kwenye simu yao na wapo makini sana. Taarifa hiyo...
Ni wazi kwambq CCM imekosa attention kabisa, kampeni za chaguzi za CHADEMA zimefifisha kabisa taarifa za kinachoendeleq huko Dodoma, watu kila leo wapo bize kutaka kujua chadema kuna nini kimeongelewa nn hii imepelekea watu wasiupe umuhimu ule upande wa pili.
Sasa kesho wanachi wapo dimbani ni...
Mpo Salama bandugu!
Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo.
Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi.
Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana,
Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,.
First of all mie ni mtu ambaye siwezagi kukaa na kitu rohoni kwakweli,. Ila sio muongeaji kwa watu wangu wanaonizunguka, so...
Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani.
Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu"
Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena.
Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma.
Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
Heshima kwenu,
CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda.
Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka...
Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo
Malaika ni nani
Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi 34:7; 91:11). Biblia husema kwamba, “katika yeye (Yesu), vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na...
Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi.
Je jambo hili linawezekana kisayansi?
Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera.
Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya.
Hali hii imetuathiri...
Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi.
Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa?
Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan, Korea za kusini na kaskazini, Mongolia, na Taiwan.
Inakadiriwa kuwa asilimia kati ya 80 -95 ya watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.