Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si...
Wakuu,
Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa.
Kwamba...
Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana.
Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu.
Nimechoka kabisa...
Kwa Sasa ni kama CHADEMA wapo pekee yao.
1. Wanapambana na polisi
2. Wanapambana na TISS
3. Wanapambana na Rais
4. Wanapambana na Vyama 13 vya upinzani.
5. Wanapambana na Viongozi Fulani wa dini.
6. Wanapambana na machawa
7. Wanapambana na bunge
8. Wanapambana na mahakama
Ukiangalia vizuri...
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu?
Aksanteni
Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu,
Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter akihoji juu ya alipo kafa wa CHADEMA bwana DEUS SOKA. Baada ya hapo Tundu lisu hajaonekana wala kusikika...
Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi!
Hii ni kero kwa wasikilizaji.
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake...
Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI...
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini...
Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k
Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa...
Ndiyo!
Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya
Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay
Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2
#Olympic #Olympicgame #Paris
Zamani enzi zetu, kila mwaka tulikuwa tunaona gari la waguzi wanakuja na kukaa shuleni walau siku tatu hadi wiki wakifuatilia maendeleo mbalimbali (sifa za waalimu, vifaa, majengo nk nk)
Nimejiuliza kwa sababu, kwa miaka hii unaweza kusikia Muandishi wa habari anaripoti madarasa yanataka...
Wazee wa makoti hawasikiki kabisa
Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo.
But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana.
Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani?
Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI...
Competition is good for business.
I will be short as usual
The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers.
So these workers are now hired in simba under sandaland leaving sheri ngowi seeking new talents in Jersey design. in short he is struggling to design a new...
Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri.
Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu.
Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.