Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin.
ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
Ndoa na kuoa ni jambo zuri na la heshima na MTU kupata mazishi ya heshima pia ni jambo zuri .
Ila huwa nafatilia vifo vingi hasa katika familia masikini vinatokana na ukosefu wa fedha za matibabu.
Kuna wakati familia inamchangia MTU harusi au sherehe ambayo inaweza Ku-cost hela nyingi lakini...
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee
Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible!
Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo!
ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine.
Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated...
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine.
Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa.
Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.