Wasafi wameanzisha michuano ya mpira inayohusisha team za mitaani ambayo inaitwa kivumbi cup kwa lengo la kupata vijana wenye uwezo lakini pia ni sehemu ya vijana kujipatia kipato.Mshindi wa mashindano hayo atapata mil 20 wa pili mil 10 na watatu atapata mil 5, man of the match, mashabiki Bora...