wasanii

  1. Umuhimu wa kuwalipa wasanii pesa inayowawezesha kuishi bila kujichanganya na jamii

    Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
  2. WCB Wasafi kusaini wasanii wapya wawili, mashahidi wao watatoka BASATA na COSOTA

    Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa. Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao. Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa. WCB for life baby! === Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
  3. Wasanii wakianzisha mahusiano ya kimapenzi ndani ya kundi kuna hatari ya kundi lao kuvunjika

    Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi. Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi! Hili group la...
  4. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  5. Diamond Platnumz adai kuwa ni sahihi kuchukua mapato ya wasanii wake kwa 60%

    Baada ya sakata linaloendelea mitandaoni kuwa lebo ya WCB inakandamiza wasanii, mkurugenzi wa lebo hiyo, Diamond Platnumz amesema, haoni tatizo kuchukua asilimia 60 ya mapato ya msanii wake. Amesema anafanya hivyo kwani mziki ni biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa na mpaka msanii awe mkubwa...
  6. U

    Wasanii Bongo wanaotumia madawa ya kuongeza Misuli, Steroids

    Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao. Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo...
  7. Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

    Bila kumung'unya maneno, Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe...
  8. Wasanii wetu wa kiume wana agenda gani na mavazi yao siku hizi? Wanahamasisha 🏳️‍🌈? Mtazame Harmonize!!

    Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!
  9. Wasanii wa Filamu kuhusu Sensa ya Watu na Makazi Mwaka huu 2022

  10. S

    Marafiki wasanii ni wanafiki sana na ni wa binafsi

    Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
  11. L

    Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
  12. N

    Natabiri show ya leo Tcc wasanii wengi kuimba wakiwa BWIIIIII

    Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo...
  13. Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

    Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto. Ndio mwisho wa siku account...
  14. Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  15. Hivi nyie mnaowa follow wasanii waliokufa huwa mnatakaga nini?

    Nimefikiria nimefikiriaaa nimekosa jibu. Kuna hawa watu hasa wa instagram wakipata tu habari ya mtu maarufu au msanii amekufa wanaanza kufollow account yake ya instagram. Hivi hua mnawatakia nini marehemu? Unajua kabisa amekufa hata ukimfollow inakuwa haina maana tena, hatopost tena na hata...
  16. Wasanii watumike kuelimisha SENSA

    Tafadhali msiwasahau wasanii waliokesha kuwaombea Kura. Asante.
  17. Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022 “Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea. “Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
  18. E

    Ukiwasikiliza wasanii wanataka watu kama Babu Tale, Salam n.k kwenye shirikisho

    Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo. Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
  19. FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  20. Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?" Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…