Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema sekta ya usanii na michezo imekuwa ya tatu katika kukuza uchumi wa nchi.
Amesema kuna watu wanawadhihaki au kuwadharau wasanii lakini wasanii ni watu muhimu katika kuelimisha jamii...