ELIMU KWA WASANII WA BONGO
Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema, "Hakika vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale... Msishangae ndugu zangu, najua mnajiuliza...