Mheshimiwa Rais.
Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu.
Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi.
Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...