Tanzania ya sasa haieleweki maana hakuna agenda ambazo taifa linazishika na kupanga kufika nazo mwisho. Ni upepo tu, ukivuma kushoto ndiko hukohuko fikra zote zinaelekea. Upepo ukivuma kulia kila mtu anafikiria kulia.
Ukiwa upepo ni wa Kaskazini, mijadala yote ni Kaskazi, wanaopinga Kaskazi na...