Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu.
Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...