watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Familia ya Sauli yaeleza miradi watakavyoisimamia, watoto watakavyoishi

    Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga kusimamia vyema migodi ya dhahabu ili kuwasaidia watoto wake. Mwalabhila maarufu kwa jina la Sauli...
  2. realMamy

    Hivi kwanini wazazi wanawaogopa watoto wao wenye Pesa?

    Katika familia nyingi za Kiafrika hususan vijijini wazazi wengi wanawaogopa watoto wao wenye pesa hata kama ni mdogo. Mtoto huyo mwenye pesa hata akifanya vitu visivyofaa kwa ndugu zake mzazi hawezi kumkanya zaidi ya kumchekea chekea tu. Hali hii hujenga chuki kwa ndugu zake kiasi kwamba hata...
  3. M

    Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  4. B

    CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  5. realMamy

    Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  6. Morning_star

    Umasikini wa mtoto umefungwa ndani ya fikra na akili ya mzazi! Tusiwalaumu watoto tu wakati mwingine!

    Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao tunawasomesha shule za umma na za binafsi. Sasa hizi shule za umma (za Serikali) kutokana na changamoto...
  7. Yoda

    Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Mchakato wa kukusanyika maoni ya dira ya taifa ya maendeleo 2050 ukiendelea umekutana na maoni ya mmoja wa raia akilalamika maadili ya Mtanzania yakizidi kupotea hasa kwa watoto, raia huyu amelalama watoto kuacha kuimba nyimbo za Sunday school na kaswida badala yake wanaimba "vibuno", "honey"...
  8. realMamy

    Funzo kwa baba wanaotelekeza watoto kwa mama zao

    MY STORY: Nilisema nitamchukua Bada ya miaka 7 nimeenda nimekutana na Makaburi mawili! Nakumbuka meseji yangu ya mwisho niliyomtumia ilikuwa ni kumwambia, "Wewe lea mtoto, akiwa mkubwa atakuja kunitafuta," na kwa taarifa yako, akifikisha miaka 7 nitakuja kumchukua. Hakunijibu hiyo meseji na...
  9. chiembe

    Wachambuzi Clouds Radio na E-FM wasema hakuna haja ya kumrejesha Manara, Kamwe anaendana na Gen- Z, sura yake ilifanya watoto katika idara waogope

    Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
  10. Roving Journalist

    Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto

    Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto. Mkaguzi huyo...
  11. M

    Inasikitisha. Watoto wa walipa tozo na watoto wa wakusanya tozo

  12. mdukuzi

    Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  13. The Legacy

    Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  14. mwanamwana

    Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  15. Dkt. Gwajima D

    Ijue MTAKUWWA Awamu ya 2

    Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni 2024/25-2028/29 ambapo, tulizindua tarehe 15 Mei, 2029. Kwa kifupi, ziko Kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
  16. Riskytaker

    Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

    Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri...
  17. Eli Cohen

    Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

    Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu. Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism. Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
  18. FRANCIS DA DON

    Matukio ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kuiba watoto, kisha wanapopelekwa polisi kesi inaisha kimya kimya, tueleweje?

    Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi kwa mahojiano, ila polisi hawataoi mrejesho juu ya kinachojiri baada ya mahojiano, tueleweje? Mtaani...
  19. Damaso

    English Medium mnawachosha watoto wetu.

    Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni pamoja na maji ya baridi ili kuzimua akili ikae mguu sawa. Huwa nachukua nusu saa tu kujiandaa na kwenye...
  20. NostradamusEstrademe

    Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
Back
Top Bottom