Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023
Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume.
Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii?
Source...
wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu..
Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote.
Mwanaume anavaa...
Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi.
Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku.
Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku...
Prof. Mkumbo
Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu.
App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo...
Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka
Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???
Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi...
Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala yake wawafikishe katika vituo na shule maalum ambazo zitawaendeleza kielimu.
Kauli hiyo ameitoa...
Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri.
Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao.
Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu.
Mke wangu kwa vile...
Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.