watu wasiojulikana kuteka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Watu waliopotea ni doa kubwa kwa taifa hili, Polisi wana wajibu wa kuwatafuta

    Waziri mstaafu na Mchumi, Profesa Anna Tibaijuka, ameeleza kusikitishwa kwake na wimbi la watu kupotea nchini na kulani vitendo hivyo akivitaja kama doa kubwa kwa taifa. "Kazi ya kwanza ya serikali—na mimi nazungumza kama profesa wa uchumi hapa—kazi ya kwanza ya serikali wala sio kuleta...
  2. JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi kuchunguza tukio la kutoweka kwa mfanyabiashara Mahamoud Abdalla aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetangaza kuanza uchunguzi wa kina kufuatia taarifa za kutoweka kwa mfanyabiashara wa Soko la Buzebazeba, Mahamoud Juma Abdallah (25), anayedaiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo lake la kazi. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima: Magumu yaliyokupata wewe ni kwasababu mimi nilikataa 'Utekaji', mpaka leo nakataa vilevile

    Wakuu, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya tangu lilipofungwa Juni 2, 2025. Katika mahubiri yake, amegusia changamoto walizokabiliana...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RPC Kigoma: Wengine wanasema wametekwa ili kuzua taharuki. Acha aliyekamatwa aseme 'nimetekwa'

    Kuhusu Utekaji Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ASP Philemon Makungu amesema baadhi ya taarifa zinazoripotiwa kwa watu kutekwa ni uzushi kwani sio kila mtu anatekwa, baadhi yao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi halafu wanazusha kwamba wametekwa. Philemon amesema aliyetekwa ndio anatakiwa kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kaka wa aliyetekwa kasema ndugu yake katekwa na Mtu fulani lakini vyombo vya habari vinaripoti katekwa na watu wasiojulikana

    Wakuu, Mwanachi mwenzetu kaongea ukweli kabisa, kuna muda vyombo vya habari tunavyotegemea kutupa habari kwa undani na uwazi vinaamua kutupoteza kwa kukimbia ukweli au na wao wanamilikiwa na wajuba? Sema jamaa anajiamini nimewaza na hilo koti alilovaa ni hatarii sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…