watumishi ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Halmashauri ya Chato, tunaulizia fedha za kujikimu. Tumechoka kila mara kuandika barua

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Kada ya Afya Halmashauri ya Mkalama Wamepewa Fedha za kujikimu Wakati Walimu ajira mpya hatujapewa hata Mia. Inaumaaa

    Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja. Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma. Tunaomba mamlaka husika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya Watumishi wa Umma Nchi nzima, Ajira mpya kutokulipwa pesa za Kujikimu Serikali imeamua kuipuuza?

    Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...
Back
Top Bottom