Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa.
Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
jibu
kimya
kujikimu
majibu
mpya
namtumbo
pesa
pesa ya kujikimu
viongozi
wapo
watumishiwatumishiajirampya
Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa.
Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa.
Hali hiyo imeanza kuathiri...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
chunya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kero
kujikimu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
stahiki
watumishiwatumishiajirampyawatumishi wapya
wilaya
zao
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026.
KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
Anonymous
Thread
ajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
mkoa wa geita
watumishiajirampya
Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja.
Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma.
Tunaomba mamlaka husika...
Anonymous
Thread
ajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
kada ya afya
kujikimu
mkalama
sawa
sio
walimu ajirampyawatumishiwatumishiajirampya
Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...