watumishi wa halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pro. Shemdoe: Michezo kwa Watumishi wa Halmashauri itumike kuimarisha Afya, Mshikamano, tija kiutendaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Prof...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa 2022 hatujapandishwa madaraja, wengine tayari

    Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Handeni acheni kutelekeza familia

    Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
  4. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Watumishi wengi wa Halmashauri ni kikwazo kwa maendeleo ya Vijana

    Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya ametoa hoja kuhusu Watumishi wa Halmashauri, alitoa maoni hayo Juni 3, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Bongo FM. Mahojiano yao kwa maneno yakuwa Mwandishi wa Bongo FM: Sawa sawa. Pengine kwenye eneo ambalo pengine ukilitazama unaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…