wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sudan: Watu 50 wauawa, zaidi ya 1,000 wajeruhiwa katika mapigano

    Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu wa Khartoum. Pande zote zinadai zinadhibiti maeneo muhimu kama vile Ikulu ya Rais. Jana Aprili 16...
  2. Magaidi 20 wa kidini wa ADF (Islamic state) wauawa DRC

    Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki... In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of River Lusulubi Near River Semuliki -Rwenzori Sector, 20 rebels were put out of action whereas one UPDF...
  3. Magaidi wa Iran wauawa na shambulizi la Marekani

    Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa.... US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following a drone attack that killed one American contractor and wounded five US service personnel, a war...
  4. B

    Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali. Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
  5. Pakistan: Watu 59 wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga

    Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na Wanasalama wa makao makuu kwa ajili ya ibada. Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif amedai magaidi...
  6. Mlipuko wa msikitini Pakistan: Takriban watu 32 wauawa baada ya mlipuko huko Peshawar

    Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan. Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150 kujeruhiwa. Sehemu ya jengo iliharibiwa, na maafisa wanasema watu wamezikwa chini ya vifusi.Wengine...
  7. Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

    Tukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Vyombo vya habari vya Jerusalem vimemtaja mhusika aliyefanya shambulizi hilo kwa risasi kuwa ni raia wa...
  8. Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  9. Mexico: Watu wenye silaha wavamia gereza, watu 14 wauawa, wafungwa 24 watoroka

    Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa wanne huku 13 wakijeruhiwa. Baadhi ya wafungwa walichoma moto vitu gerezani hapo na kupigana na...
  10. Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  11. Magaidi 33 wa kidini wauawa Pakistan

    Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa. Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence minister has said. Islamist militants from the Pakistani Taliban seized the centre in the remote...
  12. Iraq: Askari Polisi 9 wauawa kwa bomu na shambulizi la risasi

    Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa. Inakadiriwa kikundi hicho kina...
  13. SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  14. Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  15. Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  16. Morogoro: Wananchi wachoma ofisi ya kijiji Kilombero, wawili wauawa

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi...
  17. Chad: Watu 50 wauawa katika maandamano ya kudai Demokrasia

    Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na kati ya waliouawa ni askari wa vikosi vya usalama, ambapo Serikali imetangaza amri ya kutotoka nje...
  18. Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  19. Thailand: Zaidi ya watu 30 wauawa katika shambulizi la risasi lililofanyika katika kituo cha kulelea watoto

    Polisi nchini Thailand wameripoti kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulizi liliofanyika kwenye kituo cha kulea watoto. Taarifa za awali zinasema shambulizi hilo limefanywa kwa kutumia bunduki na mtu mmoja ambaye anatafutwa kwa sasa. ---- BANGKOK: At least 31 people were killed on...
  20. Wanajeshi 100 wauawa katika mapigano ya Armenia-Azerbaijan

    Mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan yamesababisha kuuawa kwa Wanajeshi hao, ambapo kwa Armenia waliouawa ni 49 wakati Azerbaijan ni 50. Serikali zote mbili zimetupiana lawama juu ya mauaji hayo, Armenia ikidai miji yake kadhaa kwenye mpaka ilishambuliwa kwa makombora na ndipo wakajibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…