Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin.
Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF.
NHIF ina changamoto kuu mbili
1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo.
2...
Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza,
"Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW'
Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/vice-president-mpango-wants-more-cardiac-institutes-in-tanzania-4519784
Gazeti la la Tarehe 09/02/2024 linaripoti ufunguzi wa Mkutano wa maradhi yasiyoambukiza ikiwemo...
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa.
====
MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
bima
bima ya afya
bunge
hongera
kikao
kufanikisha
kutunga
kutunga sheria
kwa wote
mkutano
mwaka 2022
novemba
ummy mwalimu
waziriwaziri ummy
waziriwaafya
wote
Msanii Mrisho Mpoto amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kutumia ukali kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mbele ya Rais Samia na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kupokea Ripoti ya Utafiti wa Afya ya uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya kubebea wagonjwa...
Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni.
Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
Mheshimiwa Waziri,
Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri
Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
Copy and Pasted
WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER).
Kwa Waziri wa afya
Katibu mkuu wizara ya Afya,
Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya,
Kwanza kabisa...
Rais kwanza nikupe pole na heshima yako na nikupongeze sana Mama kwa uwajibikaji wako katika kulisaidia Taifa hili kwa kuliponya kutoka katika mazingira magumu miaka 8 iliyopita. Hakika tunaweza kusema ya kwamba mabadiliko ni makubwa sana katika sekta zote ispokua baadhi ya Watendaji wako ndio...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya...
nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva.
Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
Wasalaam ndugu wana Jukwaa,
Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera sana mheshimiwa Waziri Ummy. Wewe ni jembe haswa kwa maoni yangu na ni askari wa mwavuli wa Mheshimiwa...
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO.
Na. WAF - Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.