Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametaka taasisi nyingine kuiga mfano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wa kuanza kuwapigia wagonjwa simu ili kuwajulia hali.
Waziri Ummy amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter Julai 20, 2023 akiwapongeza MOI kwa kuanzisha utaratibu wa kuwapigia simu...
Mheshimiwa Ummy Mwalimu:
Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
Waziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini?
Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala...
Habari ya majukumu wana JamiiForums,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.
Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu.
karibuni kwa nyongeza ya maoni...
Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter:
"Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu...
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kufika kwa Mkuu wa Mkoa huo ili kujieleza kwanini mradi huo haumaliziki ndani ya...
Ubaguzi mwengine wizara ya Afya.
Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash.
Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
RIP sis Angel,
Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta.
Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
Heri ya mwaka mpya!!
Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu.
Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill,
Wanabambikia watu mnoo yani...
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili.
Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
Kwanza pokea pongezi za dhati nimepita wilayani ludewa mwezi uliyopita nimeona eneo la hospitali ya wilaya ni kubwa na majengo ya watumishi.
Ujenzi wa jengo la mochwari unaendelea hongera. Lakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta...
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF.
Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9.
Labda kitu...
UTANGULIZI:
▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba.
Ni rahisi, mwanaume anatakiwa ajue na kuelewa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa usahihi. Hitaji la...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.