Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe.
Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19.
Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19.
Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19.
Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo...
Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi.
Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Khamis ametaka watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana ili kupunguza matukio hayo. Amesema hayo mkoani Kigoma baada kupewa ripoti kuwa wilayani Kigoma kati ya kesi 128 ni sita pekee ambazo wahusika wamehukumiwa vifungo.
Swahili Times
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni.
Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya...
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.
Gazeti la The Sun...
Nadhani sasa hatua zinazochukuliwa na Serikali dhidi ya Corona mnazisikia. Lakini katika awamu ilipita hali ilikuwa tofauti kabisa, Serikali ilitelekeza jukuma la kulinda raia wake. Licha ya kuwapa ushauri lakini waliziba masikio
Nchi imepoteza rasilimali watu wengi mafungu kwa mafungu kutokana...
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern.
Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.