waziri wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  2. Ngarob

    Wizara ya Afya chukueni ushauri huu kuhusu madakatari wenye maslahi binafsi

    Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania. Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
  3. Prof Koboko

    Upotoshwaji unaoendelea kufanywa na baadhi ya Wafamasia kumpotosha Waziri wa Afya

    MAJIBU KWA MTU ANAYEJIITA JOSHUA GUYAHAMBI ANAVYOPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA KUHUSU ADDO NA USIMAMIZI WA MADUKA YA DAWA NCHINI Na Prof Patrick Kobono (MD, MMED, MPH, MBA, PhD in Human Anatomy) Wasalaam! Kwa kawaida hua sipendi kabisa kujibishana na wajinga wachache wanaopotosha umma ima kwa...
  4. JanguKamaJangu

    Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  5. Fantastic Beast

    Waziri wa Afya wasaidie Wafanyakazi wa Mloganzila wapate pesa zao za madai ya UVIKO-19

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za UVIKO-19 (Risk Allowances) hata za wimbi 1 japokuwa hizo pesa mlishazilipa kulingana na tangazo...
  6. beth

    Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  7. John Haramba

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu atoa tahadhari jina lake kutumika kwenye kutapeli

    Tamko la Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu utapeli kwa kutumia jina lake.
  8. Dam55

    #COVID19 Waziri wa afya wa Uingereza: Corona ni kama mafua tu tutaishi nayo milele

    Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
  9. M

    Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  10. Miss Zomboko

    Waziri wa Afya awataka Wakuu wa Wilaya kuchunguza hospitali zinazotoza hela ya kadi ya Kliniki

    Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Dk. Dorothy Gwajima amewaagiza wakuu wa wilaya zote nchini kufuatilia mienendo ya watumishi wa afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati wanaokiuka sheria za nchi na utaratibu wa utumishi wa umma kwa kuwatoza wakina mama wajawazito...
  11. B

    Mhe. Waziri wa Afya na Waziri wa Nishati, gharama za oxygen hospitalini kwanini ni kubwa hivi na hakuna tamko lolote?

    Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata fundisho kwamba ni watu wachache Sana wenye uchumi wakuweza kulipia oxygen. Naomba wenye utaalam...
  12. M

    Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

  13. Saint Ivuga

    Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  14. Chagu wa Malunde

    #COVID19 Waziri Gwajima, tumia busara na elimu yako kuinadi chanjo ya UVIKO -19, usitumie mabavu kama ulivyoinadi nyungu na Bupeji

    Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na pilipili na kuwaaminisha Watanzania kuwa hiyo ni kinga na tiba ya Uviko-19. Limekuja suala la chanjo ya...
  15. U

    Afya za wanafunzi takribani 2,500 zipo hatarini kutokana na ukosefu wa maji kwa zaidi ya siku 21

    Shule ya Msingi Benako haina Maji Wiki Ya 3 baada ya Kukatiwa Maji Na Dawasco kwa deni La 200,000. Shule hii inapatikana maeneo ya Salasala Kata ya Wazo, Jimboni Kawe Jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopo ni kuwa muda wa wiki 3 sasa maji shuleni hapo hayapatikani hali inayotishia afya za...
  16. mshale21

    #COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure. Amesema...
  17. H

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  18. Naipendatz

    #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  19. kavulata

    #COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  20. beth

    #COVID19 Iran: Waziri wa Afya aonya uwezekano wa COVID-19 kupelekea mfumo wa afya kulemewa

    Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa. Ameonya kwamba Mfumo wa Afya Nchini humo huenda ukalemewa akisema, hata kama Hospitali...
Back
Top Bottom