Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Niwaombe tu Waafrika wenzangu (hasa Watanzania) kuwa tuacheni Unafiki wetu wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu dhidi yetu Waafrika wakati Ukweli ni kwamba Sisi Waafrika (tena wenyewe kwa wenyewe) tunabaguana kwa Kiwango kikubwa kuliko hata huo Ubaguzi wa Wazungu Kwetu.
1. Hivi katika ngazi...
Maswali magumu kuhusu ubaguzi katika Dini duniani:-
1. Mwafrika anawezakuwa Papa?
2. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Anglican duniani?
3. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Lutheran duniani?
4. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Suni duniani?
5. Mwafrika anawezakuwa Mkuu wa Shia duniani?
6. Mwafrika...
KUGOMBANA NA WAZUNGU NI KUGOMBANA NA UTAJIRI.
Anaandika Robert Heriel.
Kutokana na Elimu duni ya Watanzania waliowengi kuhusu mambo ya kihistoria, wengi hawana Uelewa Dunia imetoka wapi, ilipo na wapi inapoelekea. Hivyo sio ajabu kumsikia Mtanzania Fulani akisema Wazungu ni adui zetu, Wazungu...
Wazungu ni watu wabaya sana, kumbe tambiko ni ibada kama nyingine na mnyama anayechinjwa anatolewa sadaka na analiwa na wote.
Tambiko lilianza kwa kumuweka ng'ombe kwenye matawi ya mti wa Ululambuli, kisha akachinjwa. Alipochinjwa akachunwa ngozi, akatolewa nyama za kifuani, zikatengenezwa...
Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo.
Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu.
Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata...
Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki
Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
Mechi ya Liverpool na Chelsea mashabiki wanatumia nusu saa tu kuingia uwanjani na uwanja unajaa sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich...
Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
Huku akitamani kukagua gwaride la 9 December Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameingiwa na wasiwasi wa ni namna gani wazungu waliompa pesa za Covid watamchukulia endapo ataandaa kusanyiko takatifu la kiwango kile la watu.
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha kuwa huenda maadhimisho ya...
Baada ya kuwachunguza sana hawa watu, niligundua yafuatayo;
Huthamini sana kazi (Kazi kwanza)
Wana amini kwenye matokeo (result oriented)
Hutimiza malengo ya kila siku/wiki/mwezi na yasipofikiwa hutathimini kujua walipo kwama
Hufanya kazi kwa weledi na kujituma sana (huingia kazini mapema na...
Mtu Mmoja aitwae Godwin Mathew ( 26 ) kutoka nchini Nigeria amemuua Baba yake Mzazi Mathew Audu ( 64 ) kwa Kosa la Kula Nyama ya Kuku yote katika Sahani na Kumbakizia Mwanae Kichwa tu.
Taarifa: Nipashe Online
Siyo kwamba GENTAMYCINE nasema kuwa Wazungu nao hawana Mapungufu yao ila angalau...
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia...
Enzi za utumwa hali ilikuwa ni mbaya sana. Mtumwa alikuwa ni mtu wa hofu kwenye safari yake yote. Nafikiri alipofika anapokwenda alipumua kwa ahueni baada ya kujua kuwa ameenda kulima.
Inasemwa kuwa mara tu walipofika pwani na kuona meli huzuni kuu iliwaingia. Macho yao yalionyesha kukata tamaa...
Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi Waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu kututawala walichukua hadithi zetu? au wazee wetu hawakuwa na sehemu ya kuweka kumbukumbu?
Sisi hadithi...
Taarifa nilizo zipata ambazo ni za ukweli na kuaminika ni kuwa huko Ulaya makanisa yanafungwa kila kuitwapo leo, wazungu wanaacha kwenda kanisani kwa kasi ya ajabu kuwai kutokea, watafiti wanasema kuwa baada ya miaka5 mpaka 10 ulaya inaweza ikawa na makanisa machache sana au kupotea kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.