Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...