wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo. Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
  2. Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

    ...
  3. Vita ya Ukraine imetuonyesha kuwa hata Wazungu ni wajinga sana

    Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu. Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
  4. Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake. Idd Amini...
  5. Viongozi wa Afrika wanaweza kuwasuluhisha Wazungu wanaopigana?

    Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
  6. B

    William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  7. Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  8. Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia. Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
  9. Deep down wazungu wengi wanajuta kuwapeleka watumwa weusi, hasa Marekani

    Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community. Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
  10. Ilikuwa ni muhimu kwa baadhi ya nchi kutawaliwa na wazungu

    Siwatetei Wakoloni, lakini, nafikiri kulikuwa na umuhimu wa wao kutawala baadhi ya nchi kwa kipindi hicho, hasa za Kiafrika, kama walivyofanya. Walinufaika na rasilimali za Afrika, lakini Waafrika nao hawakubaki kama walivyokuwa. Wamechangia mabadiliko chanya. 1. Walisadia kutokomeza baadhi ya...
  11. Hivi Wazungu masikini nao wakitajirika ghafla huanza dharau kama baadhi ya Waafrika waliozibahatisha?

    Yaani Mswahili (Mtanzania) akiwa na maisha ya kimasikini/kifukara kama GENTAMYCINE siku akizibahatisha/akizipata tu ghafla utamuona anaanza kubadilika kitabia kwa kuanza kuwa na maringo (majipu), dharau, sanifu na unafki mwingi. Sijawahi kwenda au kuishi Ulaya (Marekani) na sitarajii kwenda...
  12. Wazungu wametuzidi Kila kitu,lakini sasa wamechanganyikiwa

    Soma alafu soma tena,unaweza kupatwa hasira Thread nzima:
  13. ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

    Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
  14. Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors. History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
  15. Wazungu ninaowajua Mimi ukiona wanakusifia Mwafrika jua yafuatayo...

    1. Wewe ni Empty Set 2. Wameshakudharau 3. Wanakusanifu 4. Wanafaidika nawe 5. Wamekutega na Umetegeka 6. Watapenda usiishie tu Kuwakaribisha Sebuleni Kwako bali watapenda hadi Chumbani ( Bedroom ) Kwako waingie. 7. Watakuambukiza Laana na Dhambi isiyosamehewa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu...
  16. Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

    Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia. Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
  17. Mtazamo wa wazungu mambokale kuhusu maadili asilia

    Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031 1. Usuli Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia maumbile ya watu wenyewe yanataka wafanye nini kusudi waweze kubaki wazima na kustawi hadi ukomo wa juu...
  18. Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  19. F

    Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  20. Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

    Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania. Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala. Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…