wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  2. Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024

    Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
  3. T

    Viongozi wengi wa dini wapo kimaslahi na wala msisemee askofu shoo kwa maneno yake

    Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
  4. Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  5. Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

    Wengi wanakuwaga bums/bust Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake...
  6. “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
  7. Familia yenye maprofesa wengi zaidi Duniani

    THE KINDIKI FAMILY 1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University; 2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor, KCA University; 3. Prof. Moses Mpuria Kindiki, a Political Economy and Development Researcher...
  8. Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  9. Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
  10. G

    Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  11. Ni kwa nini matajiri wengi wa Dunia wanatoka Marekani?

    Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi. Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
  12. Ni nini chanzo cha vijana wengi kuwa na tamaa

    Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa, Tamaa imefanya vina wengi wakumbwe na majanga mbalimbali kama magonjwa na wengine tunaona wakiwa wanapoteza maisha...
  13. Sijui kwanini Mafundi wengi wahuni ndio huwa wanakuwa mafundi wazuri

    Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound.. Ila hao mafundi watata watata ndo unakuta wakifanya kazi matokeo mazuri.kazi zao zinawafanya watafutwe na watu kikubwa ni...
  14. Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

    Bila Salamu. Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao. Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10...
  15. Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
  16. C

    Vijana wengi tumekosa mikopo

    wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga
  17. Orodha ya Vyama vya Siasa vyenye Wanachama wengi duniani (According to Wikipedia)

    According to Wikipedia Vyama vikubwa ni Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million Democrats USA; Namba 5 (45 M) Republican USA Namba 6 (36M)...
  18. Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
  19. Wazazi wengi wa Kitanzania hawana mali za kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba na Yanga

    Habari zenu! Mada inajieleza. Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga. Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
  20. Wengi hatuna utamaduni wa kula matunda na kunywa maji.

    Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani. Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana. Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…