wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon Asema Hezbollah...
  2. mwanga mweusi

    Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

    Mnipe mawazo mazuri maana nipo njia panda. Katika maisha yangu ya ujana nilijipangia mikakati inatayosapoti mimi kutoka kwenye maisha ya hali ya chini. Kabla sijaoa nilipanga 1. Nilipanga sitakuwa na mtoto nje yandoa au kabla sijaoa na hata nikioa sitakua na mtoto nje ya ndoa.✅ 2. Sitaoa mke...
  3. C

    Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

    Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
  4. KING MIDAS

    Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

    Salaam Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni. Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali...
  5. Mwande na Mndewa

    Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  6. Equation x

    Waswahili wengi hawaaminiki kwenye ajira

    Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:- Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT. Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida. Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
  7. matunduizi

    Ugomvi barabarani ni ushahidi Dar es Salaam watu wengi wenye magari wanastress au levo ya mapepo iko juu barabarani msimu huu

    Leo tu nimeshuhudia ugomvi usiolazima zaidi ya mara tano. Hapa Jamaa ni wakali, hawataki suluhu nq hawaelewi. Bajaji, bodaboda, daladala na wenye magari madogomadogo ya kijapani wanaongoza. Hapa jamaa kaguswa kidogo tu kifaa chenye thamani ya sh 3000, anapewa 4,000 hataki anataka ngumi tu...
  8. AbuuMaryam

    Hivi Serikali inanufaika nini na wananchi wengi kujiandikisha na kupiga kura? Mbona hamasa ni kubwa mno?

    Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba. Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA. Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
  9. Greatest Of All Time

    Wengi hawamjui mchezaji huyu!!

    Gen Z naombeni majibu huyu ni mchazaji gani?
  10. D

    Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  11. kavulata

    Kwanini Tanzania haizalishi wakimbizi wengi duniani?

    Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima. Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu zao za asili kwenda sehemu nyingine ugenini ndani ya nchi, na kutoka sehemu zao za asili kwenda...
  12. ranchoboy

    Huenda waafrika wengi hawakufikia hatua ya kuitwa homo sapiens

    Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe "Tunajua jinsi ya...
  13. Pa-Paa

    Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  14. G

    Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  15. Liverpool VPN

    Tuongee ukweli:- Watu wengi tupo CCM kwa maslahi yetu binafasi..!!!

    INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM 2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe. Watu wengi wapo CCM wana...
  16. Surya

    Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

    Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media imebeba nafasi kubwa ya kutujuza mambo mengi.. Ukiangalia hata zile movie za Kanumba na Ray zina maudhui...
  17. TheForgotten Genious

    Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake. Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa. Ndugu zetu?
  18. Jumanne Mwita

    Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  19. Eli Cohen

    Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  20. Waufukweni

    Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
Back
Top Bottom