Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote.
Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka?
Tushirikishe
Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama!
Tuache double standards.
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
Weekend yenu vipi,
Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache
Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua...
Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi
Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa
Na Sasa uongozi una Fanya mabadiliko madogo bila s pressure
Mosi, Timu imehamia KMC complex ila wengi hawajali wapo busy na...
📖Mhadhara (59)✍
Je, wajua?
Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote).
Kama tabia hiyo inajirudia...
Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla.
It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto...
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao.
Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo.
Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao .
Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa.
Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Mm mpakwa mafuta wa Bwana nimeona niwashauri ili roho zenu zisiende jehanamu
Mda huu mpka December mtubu kama unajua wewe n msanii
January mpka March kama n mwanamziki tubu sali sana upepo wa kisuli suli unakuja kwa waimbaji
Wasalaamu
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.