Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.

Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.

Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.

Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.

Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.

Kijakazi
 
Nan yuko obsessed na mwenzie, angalia tukio akifanya mtu mwenye jina la kiislamu basi itatajwa mpaka dini yake , muda mwingin ni sehemu ya jamii tu ila lazima mtaje . Utasikia gaidi la kiislamu , ebu muangalie yule mk254 alivyokuwa obsessed ..Angalia nongwa zenu akiteuliwa muislamu , kipind cvha rais mkristo kulikuwa kimya ila ngoja aingie muislamu muone nongwa zenu .

Hapa tu kuna nyuzi ya madawa ya kulevya nimetagiwa , kisa kuna muislamu ..Kuweni makini na mkome
.

Tatizo akifanya muarabu watatukanwa waislmu wote , wakati waarabu wana dini zao nyingine hata mila . Uislamu ndiyo unasemwa sana na watu wasiokuwa na kazi mpaka mkasababisha ukasambaa bila ya nyie kujua . Huko nje , waislamu wanavamiwa sehemu za ibada , sawa wako ugenini mbona nyie mnataka mila zenu kwenye nchi za kiislamu , tena bunge la nchi ya kikristo linapanga kwenda kusababisha vita nchi ya kiislamu , jiangalieni wagalatia ..

Kaeni kimya , trumph kakoswa kuuliwa mara mbili, hao wauawaji hawajatajwa kwa dini yao wala kuitwa magaida hata ..Sasa ngoja muislamu amguse hata mgalatia kwa bahati mbaya . Siku nyie mkivunja uhusiano wenu na msipofika nchi za kiislamu basi na hapo matatizo ya kidini yataisha .

Kwenye nchi za kiislamu mnapeleka kambi za jeshi na kushambulia nchi nyingine , mnatafuta nn si mbaki kwenu ?
 
Umeeandika utumboo mreeeeefu hio yote kuonesha how obsessed you are 😁😁

Mtu anaejiamini ana maneno machache ila hii ni taarabu

Anyway, hamna jipya wazee wa kutafuta malaya 72 na fujo

Kuanzia kitabu chenu, vile mnavyoamini na vile mnavyojiendesha ni utapeli.

Na tutaendelea kuwadunda maana mnatuchokoza, kwa hio aga mapema nyumbani kuwa unaenda kuonana na malaya 72😁
20260605_133743.jpg
 
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.

Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.

Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.

Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.

Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.

Kijakazi
Kuanzisha uzi kama huu ni dalili tosha kuwa wewe ndiye mwenye matatizo na shida kubwa kichwani , ndio maana mada zako nyingi kushambulia Uislamu halafu unakuja hapa kutema mashudu kama unekunywa visungura vile .
 
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.

Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.

Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.

Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.

Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.

Kijakazi
“Elimu bora si kujua mengi, bali kutumia unachojua kwa hekima.”
 
Nimeishi sqna waislqm kamq mqjorani na marafiki, wengi tumeahirikiana nao vizuri ila kuna hawa wengine sijui wametokea wapi kutwa kukashifu wakiristo halafu wanaokashifi wengi maisha yao ni duni
 
Waislamu hawana shida yoyote na wakristo wala ukiristo ila wana shida na makafiri wasiofuata maamrisho na makatazo ya Mwenyezi Mungu
 
Takbir
Mash Allah
Kun Faya Kun
Islam ☪️ Dini
Islam Nadhifu

Kuna Wale Ndege Wa Pale Kelema Kondoa
Wanaliwa Sana Hilo Eneo, Ustadh Mmoja Akaulizwa Wale Huwa Mnawachinja Ama Ni Vibudu
Ajibu Tunawaminya Kichwa Ni Kibudu Tunakula Tu
 
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.

Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.

Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.

Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.

Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.

Kijakazi
Na kwanini mafunzo yao yamelenga sana ngono huko peponi?
 
Back
Top Bottom