Nilitaka nikufanyie surprise wakwetu..Kwanini unakuja kimya kimya hatusalimiani makiii?
Kuna mzazi wa mtu miaka 50+ ameamkia kwenye mitandao ya kijamii kujadili mimba ya wema.Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
Sijapenda wakwetu , nini kilikuficha kwanza?Nilitaka nikufanyie surprise wakwetu..
Majukumu tu wakwetu...Sijapenda wakwetu , nini kilikuficha kwanza?
Naendelea tu vizuri wakwetu, ni kitambo sana🤔Majukumu tu wakwetu...
Unaendeleaje?