wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  2. P h a r a o h

    Cheetah ni nani? wengi hawamjui wengine wanamfananisaha

    Wengi hawamjui cheetah ni yupi Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ? Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana ! Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao. Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ? Master of speed...
  3. M

    Kujisahau ni hatari nyingine inayofanya wengi washindwe kutumia mazingira rafiki katika jambo husika

    Maisha yana Vipindi mbali mbali ambavyo mara chache vinajirudia na hata vikijirudia ni kwa sura na lengo jingine. Unaweza kurudi kwenye shule yako ya msingi ila sio tena kama mwanafunzi bali utarudi kwa lengo lingine kabisa hivyo kama kuna jambo ulitakiwa ufanye kama mwanafunzi unaweza...
  4. U

    Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
  5. Damaso

    Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  6. ChoiceVariable

    Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kutembelewa na Watalii Wengi Duniani."International Visitors"

    1.France -89.4 mln 2.Spain-83.7Mln 3.USA-79.3mln. 4.China -65.7mln. 5.Italy -64.5Mln 6.Turkiye-51.2 mln 7.Mexico -45mln 8.Thailand-39.8mln 9.Germany-39.6 10.United Kingdom -39.4mln. My Take Tanzania tunapoteza mda kukomaa kwenye Utalii wa wanyama na nature wakati Dunia imehama huko,kama...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  8. K

    Msishangae tumeona Watanzania wengi wanataka Haki

    Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia mahakamani, chaguzi, polisi na mambo mengine tusishangae Watanzania wengi kufuatilia mkutano wa Chadema kuliko...
  9. B M F ICONIC

    Wa Bongo Wengi hawana Elimu kuhusiana na " YAHOO BOYZ" wa Naija

    Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu https://twitter.com/yrnskypper/status/1858751626460193176?t=AJcYLdCwbIY70Va7NChcrw&s=19 https://www.instagram.com/reel/DEjhYFMqAku/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  10. Yoda

    Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  11. Bushmamy

    Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

    Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja. Basi akasema amechelewa kuna jirani yake anaumwa sana yupo nyumbani basi wakati tunaongea kumbe alisahau simu huko...
  12. Mi mi

    Kwa nini matajiri wengi wa kihindi[ Kiasili na kiutaifa ] wanatokea Gujarat ?

    Kwa nini matajiri wengi wa kihindi iwe kiasili au kitaifa wanatokea Gujarat ? Mfano Familia ya Dewji Ambani Adani Tata Patel Na wengine wengi wengi Hii Gujarat ina siri gani ?
  13. Rula ya Mafisadi

    Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

    Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa. Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
  14. LIKUD

    Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

    1. Wazazi wengi hawana home Curriculum. Wazazi wanapaswa kuwa na mtaala wa Nyumbani maalumu Kwa ajili ya kuwafundisha watoto wao stadi za maisha . 2. Kwa sababu ya kukosa mtaala wa Nyumbani wazazi huwaona watoto Kero Wawapo nyumbani jambo ambalo ni upumbavu WA Hali ya juu sana... Ndio...
  15. Mr Why

    Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  16. M

    Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
  17. Valencia_UPV

    Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  18. BabaMorgan

    Udongo huu ni sababu ya watu wengi kugoma kuhama Dar es salaam.

    Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike kuliko kumpeleka kuishi kwenye udongo wa design hiyo.
  19. M

    Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  20. PAZIA 3

    Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
Back
Top Bottom