wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

    Sijui ni kwanini. Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba. Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu. Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
  2. Mikopo Consultant

    Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  3. Braza Kede

    Hivi kwanini mara nyingi maanko na mashangazi wengi hawajanyooka?

    Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini. Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo...
  4. Wauzaji wa containers

    Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

    Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
  5. GoldDhahabu

    Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
  6. Mzee wa Code

    Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  7. F

    Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi katika mahusiano ya kimapenzi

    Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
  8. M

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha hizo hisia kiasi cha kujipa sifa usizokuwa nazo ili tu upendwe. Kama haupo kwenye hadhi yake...
  9. M

    MWANASHERIA HUYU VIPI?

    Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
  10. JanguKamaJangu

    DOKEZO Kampeni ya 'Mchukue Mtoto Mrejeshe kwa Wazazi Wake' imefeli Mwanza? Bado wapo wengi mitaani

    Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
  11. G

    Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  12. Aramun

    Kwa sasa kuoa mabinti waliofika University ni hatari kubwa, wengi hawana bikra zote.

    Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa kupenda mserereko wa maisha mazuri bila kupitia clean process.
  13. Manfried

    Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  14. Mi mi

    Kwanini wanawake wengi hawajishughulishi sana na mambo yanayoumiza akili?

    Hivi ni kwanini jinsia hii ya kike inajiweka mbali sana na mambo yanayoumiza akili ? Mfano hata fani mbalimbali zenye matumizi makubwa ya akili kuna asilimia ndogo sana ya wanawake katika maeneo hayo ukilinganisha na jinsia ya kiume. Masuala ya kisiasa kama uchambuzi,ufuatiliaji...
  15. N

    Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

    Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao...
  16. Noel france

    Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

    Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari. Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona. Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada...
  17. U

    Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

    Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano. Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
  18. Vincenzo Jr

    Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

    Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea. Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
  19. chiembe

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  20. kwisha

    Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
Back
Top Bottom