wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  2. Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
  3. Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  4. Matembezi ya kuwatembelea vijana/wananchi wenzangu wa wilaya ya Ilala

    Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala. Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
  5. Niliibiwa na Watanzania wenzangu?

    Mwishoni mwa mwaka Jana, nilienda nchini Kenya kupitia mpaka wa Sirari. Kwa sababu nilifika "border" Usiku, niliamua kulala gesti ili niendelee na safari Asubuhi yake. Nilimka vizuri, na nikatafuta wanakotoa huduma ya vyakula, nikaagiza supu ya kuku, ndizi mchesmsho na Pepsi. Baada ya hapo...
  6. Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu. Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu...
  7. Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

    Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano Pili...
  8. Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  9. Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
  10. Kikao cha dharula; Wanaume wenzangu hebu njooni kidogo tusemezane kidogo

    Habari za muda huu wazee wenzangu. Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba vya wapendanao........ Malalamiko mengine ni ya gubu la kike lakini mengine ni ya msingi na...
  11. G

    Wenzangu mnaotumia unlimited internet huwa mnatumia net kwenye nini hadi kuvuka matumizi ya GB 1000 (1 TB) mpaka mnaanza kulalamika kupunguzwa speed

    Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia online cctv, n.k. wanaofanyia shughuli zao kama Video Library naweza kuwaelewa lakini hawa wengine...
  12. Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  13. Kwa wale Wapenzi wa Wenzangu wa Muziki wa Congo DR ( Bana Bandeko Nangai ) hivi Bendi ya Wenge Musica BCBG isingevunjika leo tungekuwa na huu Ubunifu?

    Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana akibakia na Wenge BCBG, Werrason akibakia na Wenge Musica Maison Mere, Adolphe Dominguez akibakia...
  14. Mtanganyika wenzangu usiwe mwoga! Hizi zote ni fursa zinazokusubiria

    Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha! Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki kwa kusafirisha nje mboga na matunda. Lakini wakati huo huo, Tanzania ina eneo kubwa linalofaa kwa...
  15. Sijui wenzangu mmeliona hili kwa wanawake wanaofunga Ramadhani

    Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida. Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida. Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa...
  16. Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada? Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada? Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama...
  17. Ushauri kwa watenda dhambi wenzangu

    Ninajiita mtenda dhambi ila niliyesamehewa, kwasababu hakika ninafichwa na kafara la Damu ya Yesu Kristo tu mbele za Mungu, na hii ni baada ya kukabidhi maisha yangu kwake kwa maana ya kuokoka. Amekuwa Mungu wangu, mwokozi wangu, akiniangalia hanioni mimi, anaona kafara la Damu ya Yesu kwasababu...
  18. Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  19. Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

    Assalam Alaykum! Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
  20. Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…