william ruto

  1. BARD AI

    Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  2. Pang Fung Mi

    Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  3. U

    Wapemba 7,000 wapewa uraia wa Kenya

    Rais Ruto amewapa uraia wa Kenya Wapemba Elfu Saba (7,000) leo hii Jumamosi Wakiishi maeneo ya Kilifii Wapewa National Id, Birth certificates n.k Wamekuwa wakiishi huko kwa miaka 100 na hata baada ya Uhuru Serikali iligoma kuwapa uraia wa nchi hiyo
  4. BARD AI

    Rais Ruto asaini Sheria ya Fedha licha ya kuwepo Malalamiko ya wananchi

    Idhinisho hilo sasa linatoa kibali cha kuanza utekelezaji wa Sheria katika ukusanyaji wa Kodi mpya zilizopendekezwa na Serikali zikiwemo Tozo ya 16% ya Mafuta kutoka 8% na makato ya 1.5% kwa kila Mfanyakazi wa Serikali. Mabadiliko mapya kwenye Sheria ya Fedha yanalenga kukusanya Tsh. Trilioni...
  5. Lady Whistledown

    Raila amkosoa Ruto kwa kukopa Tsh. Trilioni 3.6 siku chache kabla ya kuisha kwa mwaka wa fedha

    Kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameishutumu Serikali ya Rais William Ruto kwa kukopa kupita kiasi wakati ambapo nchi inakabiliana na ongezeko la deni la Serikali, na kuonya kuwa Hazina ya Kitaifa na Wizara zote zinazohusika katika kukopa hazitaepuka uwajibikaji Akiongea na Waandishi...
  6. Econometrician

    Rais Ruto awahimiza Viongozi wa Afrika kuacha kutumia dola katika biashara zao

    Right Nyerere na Gadafi wangefufuka Leo wangempa nishani William Ruto kwa kuendeleza jitihada za kuikomboa Africa. William Ruto ameendelea na speech zake za kuhimiza viongozi wenzake kuacha kutumia USD katika biashara za wao kwa wao na kuhimiza kutumia yu pale wanapofanya trade na USA. Msikilize...
  7. B

    William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  8. J

    Raila Odinga ni imara zaidi, amchana Rais Ruto uso kwa uso Msibani

    Tuna Imani na kiongozi Wetu Tundu Antipas Lisu lakini bado hajafikia level za Wapinzani wa huko Duniani, na huo ndio ukweli. Jana hapo Kenya palikuwa na majibizano ya ana kwa ana Kati ya Raila Odinga na Rais Ruto wakiwa Msibani na hatimaye Ruto akasema " mh Waziri mkuu mstaafu katika mambo ya...
  9. Lady Whistledown

    Rais Ruto aagiza Mchungaji Mackenzie ashtakiwe, asema ni gaidi

    Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa Mchungaji #PaulMackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili yao kugunduliwa ilizikwa katika #ShakaholaForest huko #Kilifi Akizungumza wakati wa Gwaride la Maafisa Magereza Aprili 24...
  10. Kenyan

    Rais Ruto arejea nchini asubuhi, siku ya maandamano

    Rais William Ruto amerejea nchini dakika chache zilizopita ambapo amepokelewa na Naibu wa Rais Rigathi Gachagua, Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Robert Kibochi pamoja na Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome. Ruto ametokea nchini Ujerumani na Ubelgiji ambalo alikuwa amezuru kikazi na anatarajiwa...
  11. Kenyan

    Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

    Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kwenye barabara ya kuelekea Ikulu ya Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi. Erick alidai kuwa alikuwa alizipeleka CV hizo Ikulu kwa Rais. Ikumbukwe Rais William Ruto hayupo nchini yupo ziarani Ujerumani.
  12. MTAZAMO

    Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
  13. JanguKamaJangu

    Kenya: Binti wa William Ruto akana kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi

    Ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa maneno mengi mitandaoni kuwa taasisi yake binafsi inatumia fedha za umma kuendesha shughuli zake mbalimbali. Tangu kuapishwa kwa baba yake, Septemba 2022 kuwa Rais wa Kenya, Charlene Ruto amekuwa akikutana na viongozi kote Nchini na kuhudhuria makongamano...
  14. Ikaria

    Ahadi 10 za Rais Ruto kwenye sherehe za siku ya Jamhuri

    Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini swali la msingi lililobakia kwenye vichwa vya raia wengi ni Je atatimiza ? Hizi hapa ahadi 10 za...
  15. BARD AI

    Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

    Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui. Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
  16. voicer

    Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili

    Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii: 41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs! Ebu jumlisha hizo pesa, kisha Convert hizo pesa kuja Tanzania Shillings, halafu unaambiwa ni ukwasi wa watu waliowahi...
  17. RWANDES

    Rais William Ruto ni Magufuli aliyechangamka, naona ameanza kutema cheche

    Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno yaleyale ya hayati JPM kuwa wenzake hakuna alichofanya alivyokuwa akisema jukwanj naona na Ruto...
  18. J

    Rais Ruto asema kulikuwa na kitengo cha Polisi kuua watu na kuwatupa porini, amekifutilia mbali

    Huyu Rais wa Kenya Dr Ruto kwa hakika ana hofu ya Mungu wa mbinguni Ruto amesema amevunja Kitengo cha Polisi kilichokuwa ni maalum kwa kuuwa Watu na kuwatupa maporini, amesema hawezi kuruhusu serikali yake kuuwa raia, kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao siyo kuwauwa, amesisitiza Rais...
  19. BARD AI

    FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

    Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali. Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa...
  20. kyagata

    Ndani ya siku chache toka aapishwe ,Rais William Ruto ataonana na Rais wa USA na mfalme Charles wa iii wa Uingereza.

    Wakati wenzetu wanapanga kuonana na watu wa maana ulimwenguni. Sisi wa kwetu wanaona sifa kupiga picha na baba yake Rihanna.
Back
Top Bottom