Ukweli nilikaa mwaka jana mwishoni na katika kutafakari juu ya jambo husika nikasema niandike wimbo. Sina ujuzi wa uandishi wa nyimbo (rap au kuimba) ila mimi ni mwandishi mzuri tut wa mashairi na simulizi pia.
Baada ya kuuandika nikasema huu wimbo kwa jinsi ulivyo na ujumbe wake, msanii ambaye...