wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
  2. Kwa mtazamo wangu, huu wimbo umepangiliwa vizuri

    Mi si mtaalamu wa mpangilio wa sauti kwenye muziki, ila nikisikiliza huu wimbo, naona umepangiliwa vizuri na hauchoshi kuusikiliza; najikuta mara kwa mara naurudia tu.
  3. Steve Mguto, mwenyekiti wa timu ya Coastal Union atungiwa wimbo wa kufukuzwa kwenye timu

    Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
  4. Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

    Wakuu kwema? Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo. "Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
  5. Hivi ni nani anachezacheza na tune ya Wimbo wa Taifa?

    Huu unaoimbwa hapa sasa hivi bungeni wanapoahirisha si ninao ujua mimi. Hili taifa bhana. Yani hii tune niliosikia hapa ni ya hovyoo.
  6. Kenya 2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  7. Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  8. Naomba mnijuze App nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

    Je, application ipi ni nzuri kutenganisha kati ya wimbo na melod?
  9. Naomba mnijuze app nzuri ya kutenganisha wimbo na melod

    Wananzengo kama kichwa hapo kinavyoeleza, naomba mnisaidie! App ya kutenganisha intrumental na wimbo!
  10. Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

    Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi! Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi Ukiniongeza na hii...
  11. Wimbo wa Stella wake Freshly Wamburi ni wa kibaguzi, haufai.

    Kwenye wimbo huu kuna sehemu anasema, "Mchumba wake mfupi, Futi nne mjapan." Huu ni ubaguzi na kama matusi kwa wajapan. Haijakaa poa.
  12. Natafuta wimbo huu wa mnanda

    Nadhani ni wa Omar Omar kuna kipande anasema "Kumbee yuko yuropaaa anatwanga na kupepetaaa katika harakati za kutafuta maishaaa vijana tutimkeeee
  13. Naomba Jina la Wimbo wa Taarab Samia Suluhu aliokua akicheza kwa kudemka huko Zanzibar.

  14. Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  15. M

    BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

    Napenda sana Mashairi yake yasemayo... Bigi yangu Nene Bigi yangu Pana Bigi yangu Kubwa Bigi yangu Tamu Naona hata Watoto nao wameupenda.
  16. Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  17. Notorious BIG kwenye wimbo wa "I Got A Story To Tell" alikuwa anamzungumzia nani?

    Hivi huyu The Notorious BIG kwenye wimbo wa I got a story tell alikuwa anamzungumzia nani? Nimejaribu kuelewa anachozungumzia lakini wapi but kuna watu wanasema ni True Story. Wataalam wa Hiphop mnisaidie
  18. M

    Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  19. Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  20. Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…