Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika.
~Wasomi wameshauri lakini wakapuuzwa
~ Wanasiasa wamepiga kelele lakini nao wakapuuzwa
~ Wananchi...