Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo.
Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...