Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika.
Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake
Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh,
Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar...