Habarini wakuu,
Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe,
Al Hilal vs Yanga
Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa.
Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto
(kubwa jinga).
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:
1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa kutoa hoja kuhusu Soka
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
Sallam SK aka Mendez ambaye ni international manager wa Msanii namba moja Africa yani Diamond Platnumz ametoa pongezi jinsi Yanga inavyofanya vizuri kwenye kuwaongezea thamani kwenye chapa zao wachezaji wake au kwa lugha nyingine branding.
Sallam SK ambaye pia ni mdau mkubwa wa soka ambaye...
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni.
Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa.
Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama...
Yanga iliyumba kwa hujuma tu.
Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi.
Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025.
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos atashinda)
(Leo): Yanga vs Tp mazembe (Tp mazembe atashinda)
(Leo): Orlando pirates vs stade abidjan...
Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe.
Matajiri na vigogo hao...
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi.
Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya.
Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili.
Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu...
Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
Nikifuatilia ligi kuu ya Uingereza naona matimu makubwa kama Man utd, Chelsea, Man City , Arsenal nk yanavyoteseka bila kujali ukubwa wao kwa wingi wa Mashabiki na Fedha .
NImegundua wenzetu wa Ulaya HAKUNA MAELEKEZO KWA MAREFA KUWA MECHI HII LAZIMA FULANI ASHINDE
WENZETU WAMENYOOKA SANA...
Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.
Sasa hivi wachezaji wameambiwa nao wachangie kwenye kibubu cha klabu ili kuokoa jahazi.
Juzi ilikuwa zamu ya...
Umafia waungwana!
Binafsi napata mashaka na wapinzani wa Yanga kama vile Fountain Gate, Dodoma n.k
Timu inacheza huoni kama inataka matokeo na kuna wakati wanajipigia pass fupi fupi karibu na lango Lao ambapo inakuwa rahisi kwa Yanga kuchukuwa mpira na kufunga.
Yanga bado inavuja sana game...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.