Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
Habari za wakati huu ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi mpaka tawi kufunguliwa.
Tumejikusanya mashabiki 30 na wengine wanazidi kuongezeka tunataka tupate...
Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo.
Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi...
Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo
7 odds
Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu
All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa
Rgds
Pdidytz
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz
Wanangu hii...
"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022...
Mchezo huu utakuwa wa uzinduzi wa uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga, ambao ulikuwa ulikuwa ukihairishwa mara kwa mara mara kutokana na Yanga Kuwa na mchezo minginya CAFCL
Mashabiki wa Kenya wameusubiria mchezo huu Kwa hamu, na uuzaji wa ticket tukianza uwanja utajaa siku hiyo
Yanga ndo timu...
Yanga inajivunia kionesha umamba katika Ardhi nyingi za kigeni kuliko timu yeyote Tanzania na Afrika Mashariki
Misri
Tunisia
Nigeria
Liberia
Mauritania
South Africa
Congo Drc
Algeria
Rwanda
Somalia
Ethiopia
Burundi
Loading..........
Ni timu inayotarajiwa kuweka rekodi nyingine ya kutinga...
Hizi ni koo mbili tofauti kabisa zenye vipawa visivyolingana kabisa.
Ukitaka kuwa maarufu bila ya umaarufu, nenda Yanga ukasifiwe hadi ujione wewe ndiyo wewe.
Ukienda Simba utapata mafanikio bila ya makele. Simba ni timu ya watu wasiojisifu.
Yanga wana mbwembwe Sana, nakumbuka miaka ya tisini...
Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.
Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.
Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.
Hongereni wana...
Ni kicheko tuuuuu.... Kwa raha zangu. Al Hilal wamejichanganya sana.wameingia kwenye mfumo kipigo ni halal yao. Kama ilivyoandikwa Al mil shalluh tunawah aanith watalah sal namil kasas. Kisasa lazima kiwaangukie hawa mbwa.
Game imeisha.... Imesha mapema sana. Yaani mpaka raha. Natembea nacheka...
HABARI.
Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger.
AL hilal mechi 4 point 10
Mc alger mechi 5 point 8
Yanga mechi 4 point 4
Tp mazembe mechi 5 point 2.
Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10.
Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC.
Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa.
Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.