Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI.
Huku tunategemea Simba ikiacha au ikionesha little interest kwa wachezaji flani ndo tukabebe. Kwani uongo? Makapi...
Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho
Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira
Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,
Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?
Viongozi wa Simba wapo...
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie.
Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal.
Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi walivyojipanga kuhakikisha wanalibeba au kufika fainali.
Side ameonekana kuungwa mkono na wanayanga...
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA...
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
Kwa kuwa Yanga wanayaona mashindano ya shirikisho ni madogo Sana kwao, Kwa Sasa kama pointi Yanga walizopata kwa kuingia fainali ya Kombe la shirikisho Afrika zikitolewa, Yanga itabakiwa na point ngapi?
Bila ya kuingia fainali za shirikisho Yanga ingekuwa hapo ilipo?
Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa
Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa...
Huo ndiwo ukweli.
Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili.
Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi iliyo bayana. Huwezi ukafanikiwa kufaulu mtihani wa Sayansi ya football kwa mbwembwe na mapambio ya...
Habari wana jukwaa...
Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.
Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
Siku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la washindi wa 3 na 4!
Nimemuondoa Zamalek kwakuwa ndio timu pekee ambayo ingeweza kupambana na Yanga...
Yanga inapaswa tubadilike
Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache.
Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage.
Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8.
Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.