1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza
2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini
3. Mauzo ya jezi yameporomoka
4.wachezaji wengi wanaidai club
5. Mawazo yake sasa yapo kwenye kugombea ubunge aje kuwa naibu waziri wa michezo...
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
africans
complex
duka
gold
itazame
ken gold
kengold
kikosi
kikosi cha yanga
kmc
kmc complex
kumbuka
live
maarufu
magoli
mechi
muuza duka
nbc
official
yanga
young
young africans
Huitaji uwe na digrii kulijua hili.
Na huyu Kocha mpya hatakuwa na muda mrefu ama atafukuzwa,ama atajiondoa Mwenyewe kama alivyofanya Mzee Said Ramadhani.
Pale Yanga Lipo tatizo litakaloendelea kuitafuna iwapo tatizo hilo litafumbiwa macho na kuendelea kulaumu vitu visivyo na mashiko kama...
Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu.
Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF.
Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na...
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic,
Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi.
Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.
“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United
SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani
Vs Singida Black Stars
Vs...
Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo?
Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli?
Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga.
Wacha washinde match zoooote. Watakuja tema points 3 kwa sisi wakali wao. Wakali wa hizi kazi. Mi nawacheck....nasikitika tu maana...
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe
Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga.
Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20
Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi??
Sio mpaka niwafundishe kila kitu
Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki kuamini kuwa ni issue ya bahasha toka Kwenye uongozi Bali uchawa wake.
Kuna matukio Zaidi ya matano...
Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha. Amekuja huku anakula ubwabwa tu na kuhangaika na mademu. Fala sana huyu. Halafu analeta tena habari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.