Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?
Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Vikosi vinavyoanza...
Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.
Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi.
Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv.
Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Wakuu
Mshambuliaji wa Singida Black Stars amesema;
"Yanga ni kama nyumbani kwangu hata Singida walipokuja niliwaambia hivyo, yule Rais wa Yanga ni kama Malaika kwangu ni Baba kwangu na nafahamu amenisaidia kiasi gani japo mimi sitokei Tanzania, yule ni Binadamu bora sana na naamini siku moja...
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88
"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi.
Yanga ni nyumbani, hata...
Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
Kuna wakati utamsikia Mtu anakwambia Tanzania kuna Washabiki wengi wa mpira wa miguu,hii si kweli hata kidogo bali Tanzania kuna Usimba na Uyanga usiohitaji hata kushabikia mpira wa miguu au soka.Kwa hali hii ningeshauri kufanyike ubunifu zaidi wa mapato kupitia utajiri huu wa wafuasi...
Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
Bila kupoteza muda yafuatayo ni mapungufu ya club ya Yanga yanayopelekea ipate wakati mgumu uwanjani hasa inapocheza na timu zinazojitambua na zenye kutumia mfumo wa kujilinda.
1. Beki za pembeni zina mapungufu kwenye kushambulia. Mtazame Zimbwe halaafu linganisha na Boka utagundua Zimbwe is...
Kwa nini mara nyingi uwanja anapocheza Uto ukidhibitiwa vizuri, Uto hawatoboi?
Nimejifunza hivyo pale Azam Complex ambapo ikabidi wakimbie. Hata jana pale kwa maafande naambiwa jeshi lilisimama imara.
Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,
ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna.
Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa.
Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.