Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM
Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo
Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration...
Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na ame delete picha nyingi instagram akiwa na Yanga.
Huyu nadhani kinamuanza. Kama hajui ndo atajua...
Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru.
Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.
Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda...
Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google
Mechi n Azam vs YANGA
REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc
Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana
Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
Katika fani ya magonjwa ya akili yapo magonjwa kama vile msongo wa mawazo (stresses) na sonona (depression) ambayo tiba yake kuu ni kutoa ya moyoni hadharani au kwa mtu unaemwamini. Tiba hii kitaalam inaitwa "mental ventilation" au mental catharsis. Unapokuwa unaongoza watu hakikisha kuwa...
"Jemedari anachuki na Yanga binafsi sisi tunajua, kuna kitu alikitaka Yanga akanyimwa basi amejenga chuki ndani ya Yanga"
Mwinyi Mtaluke Mangala mjumbe wa baraza la wazee wa Yanga.
"Kuna mtu anaitwa Jemedari Said, tunachotaka tujue huyu Jemedari Said yeye ni mchambuzi au ni kiongozi wa timu...
Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
Jana nilibet match moja tu ya Yanga na niliweka milioni nikijua Yanga atashinda, nikapiga hela yangu ya kunitosha kula wiki nzima.
Kuna mechi ambazo huwa nina uhakika Yanga anashinda, kwa msimu uliopita pekee nimeniingizia pesa nyingi sana.
Vijana acheni kulalamika tumieni hiyo fursa kupata...
Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya Singida kufungwa na timu imara sana na hodari ya Yanga wachambuzi uchwara na wapenzi wa Simba wanahoji...
Tufikie hatua tuwe wakweli tu. Hii michezo tunayofanya haijengi team na wala hatujui ubora halisi wa kocha.
Tuambiane tu ukweli. Kwenda kucheza na teams ambazo tayari tumeshazinyong'onyesha kunatuondolea utimamu wa miili na akili tukija pambana na teams za ukweli.
Tumefikia hatua sisi wengine...
Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania.
Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango...
Wakuu
Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex.
Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja
Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima
Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi
Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.