Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani.
Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama...
Wanasema tii sheria bila shuruti.
Kutokana na tuhuma zinazomkabili msemaji wa Yanga Ali Kamwe, mashabiki wengi wa Yanga wamejitokeza kumtetea huku utetezi mkubwa ukiwa eti hakuna timu ligi kuu inayoitwa Kolo au Makolo.
Tukumbuke Simba imeimbwa hadi katika nyimbo za Yanga kama Kolo au Makolo...
Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza.
Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba...
Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon
Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu
Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani
Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja...
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.
Kwa upande wa Yanga wao hawana...
wakuu
Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa.
Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
Hakuna asiyejua ushabiki wa kimpira kwa simba na yanga kwa raia wengi wa Tanzania!
Pamoja na kuwepo sheria za mpira lakini mapenzi huwa hayafichiki kwa refa!
Kwanini mechi za Derby ya simba na yanga waamuzi wasitoke inje? Na TV itumike kama mbadala wa VAR?
Haya tuseme Refa wa inje hayupo...
Yanga ni timu kali kwasasa kwa kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla hivyo derby ya jumamosi Yanga ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa Simba ina hofu na tayari mnyama kaelekea kibla tayari kwa kuchinjwa na kuliwa supu.
Yanga imeifunga Simba mechi nne mfululizo na kuwalaza...
Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida
Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima
Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama
Upinzani wao ni Wa kimichezo
Ahmed Ali anataka Yanga asiwe na mpinzani wa Simba wakati wako ligi 1 na wanagombea...
Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa makubwa yenye mafanikio makubwa kama Marekani na makampuni makubwa ya kibiashara. Siku ukiona mwewe...
Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja.
TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
Timu ya soka ya Yanga yenye makao yake eneo la Twiga na Jangwani inatarajia kushuka dimbani siku ya jumamosi dhidi ya kibonde wake wa muda wote Simba Sports Club.
Timu ya simba ndiyo inayo ongoza kufungwa na Yanga na hivi karibuni imepokea vipigo 4 mfululizo kwenye mechi 4 zamwisho.
Endapo...
Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo.
Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii.
Kibu Denis
Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
Wana YANGA mpooo
Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu
Tar 8 MARCH...
Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard
Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8
Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka akimlalamkia
Kinachokuja mjiandae na WASAIDIZI WAMEJIPANGA na wamepangwa kuwaumiza
Na njia Moja wapo n...
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.
Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.