Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
Habari zenye uhakika
Mzee mamluki WA YANGA
Mzee magoma ameonekana maeneo ya MWANZA Toka jana
Akirindima maeneo karibu na SEHEMU mechi inapoenda kyfanyika
Wanakamati WA YANGA msiliachie kirahisi hili tusijeadhibiwa ama yakatukuta ya Azam na Simba
Alldbest
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.
Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
Hello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na...
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa.
Najiuliza
Watu wamehamia kwenye burudani...
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti
Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.
Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde
"Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
Yanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali imekuwa falsafa ambayo naweza kusema ni ya Rais wa club, Eng.Hersi Said. Rais wa Yanga ni aina ya...
Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili.
Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana.
Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
Ikifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC
5. Chama amekuwa Mpweke
6. Chama muda wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.