yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. gcmmedia

    Vipi majibu yangu, unayaonaje?

  2. Tlaatlaah

    LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  3. Manyanza

    Orodha yangu ya Wanachama bora wa Jamiiforums mpaka sasa

    Wakuu ! JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali. Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili...
  4. sergio 5

    Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

    Habari za mda huu wakuu Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL) Nikakubari...
  5. G

    Ni mimi peke yangu natamani maiti yangu ichomwe moto nikifa badala ya kuzikwa ardhini?

    Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka. Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa mwili utawekwa ndani yake kisha kufukiwa. Lakini mimi nimekuwa na approach tofauti kabisa...
  6. Edsheraan

    Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza...
  7. October 2pm

    Leo ndîo ingekuwa Siku yangu kufanya usaili lakini utumishi wamenikatili

    Utumishi Wana loho mbaya Sana. Walijua nitapasua. Nimekeleka Sana. bakini na ajila zenu. Mtu amejianda Zake vidhuri hamtaki kuona. Bakini huko
  8. KING MIDAS

    Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

    John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba. Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha. Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

    Kwema Wakuu! Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi. Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii; 1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi. Baadaye...
  10. Baba jayaron

    Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

    Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum, Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo. Ni hivi baada ya kutengana na...
  11. Trainee

    Nashindwa kuingia kwenye account yangu ya bodi ya mikopo(HESLB)

    Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendelea
  12. P

    Masomo yangu chuoni

    Habari ndugu zangu, Naitwa Paschal, nipo Dar es Salaam, Kigamboni. Nimekumbana na changamoto ya kimatokeo, kwani inatakiwa niingie mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Hata hivyo, naona kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuendelea kutokana na somo moja la semester ya...
  13. C

    Nahitaji kazi, ni mtaalam wa Nails, makeup and Hair

    Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa. Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
  14. LIKUD

    Nadharia ya Likud kuhusu ndoto za utotoni ina make sense, nimeweka hoja kueleza kwanini

    Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇 Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho. Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
  15. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  16. Roving Journalist

    Waziri Riziki Pembe: Lengo la Kampeni ya MTOTO NI MBONI YANGU ni kutokomeza ukatili na unyanyasaji Wanawake na Watoto

    “Tumezindua rasmi kampeni hii ya Mtoto ni Mboni yangu ambayo itafanyika mwezi Novemba katika Mikoa yote mitano ya Zanzibar kwa maana ya Unguja na Pemba na lengo la Kampeni hii ni kutokomeza matukio yote ya ukatili na unyanyasaji kwa wakina mama na watoto kwani hilo ndio janga kubwa linaloharibu...
  17. FatherOfAllSnipers

    Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  18. nipo online

    Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  19. Pinda Nhenagula

    Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  20. Right Way In Light

    Hatimaye tumekutana tena. Alinifaa kwa Jua lake leo nimemfaa kwa mvua yangu

    Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari. Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame. Alinisaidia baada ya kuitafuta sana kuambulia patupu nikakata tamaa. (Ni story ndefu sana). Ila mwisho...
Back
Top Bottom