yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. jay moseif

    Naomba ushauri, biashara yangu haiendelei

    Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu. Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza ufundi sofa. Lakini biashara yangu haitembei kabisa labda wenye uzoefu na mambo haya wanipe ushauri...
  2. D

    Ninahitaji brevis au mark x ya haraka, bajeti yangu 7m hadi 10m kutokana na model na ubora wake.

    Habarini wana jamvi, Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana. Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe serious. Ninauhitaji wa haraka kidogo kwa ajili ya matumizi binafsi. PM ipo wazi au unaweza kunipa...
  3. ranchoboy

    Naweza Kudumu Kwenye Siasa Bila Rushwa? Maadili Yangu Yananizuia au Yatanisaidia?

    Ndugu zangu, Nimekua nikijiuliza jambo zito Je, mtu anayeishi kwa kusema ukweli, kuchukia rushwa, na kushikilia maadili anaweza kweli kusimama imara kwenye siasa zetu za sasa? Mimi ni mtu ninayethamini haki kuliko kitu chochote. Nachukia rushwa kwa nguvu zote, kiasi kwamba hata kama ningepewa...
  4. Komeo Lachuma

    Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    Babloom Kisauji: Ninaishi kwetu kwa mama yangu

    Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi nakaa kwetu” ~ Kisauji
  6. B

    Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

    Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma 1.ugomvi wa visima vya maji Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
  7. F

    Furaha yangu kubwa ni kuona watu wanaoana

    Hii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au kuolewa njoo tuongee
  8. Calyx24

    Computer4Sale Nauza Laptop yangu mpya Lenovo ideal pad 3

    Kipi ni bora kati ya SSD na HDD
  9. DR HAYA LAND

    Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
  10. Equation x

    Baada ya kuanza kuwa bahili, michepuko yangu imenikimbia haipokei simu zangu

    Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka. Nimeamua kujituliza ili niwaachie na wengine waweze kujiburudisha kwenye hayo mazingira ya kujimwambafai. Sasa changamoto iko hivi, wale...
  11. ndege JOHN

    Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

    Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee.. Nazi Mayai Maziwa Karanga Maji Maharage meupe Viazi Ndizi Pop corn Mahindi Mkate Unga Vitunguu swaumu Pia naweza kuweka t shirt nyeupe Raba...
  12. KENZY

    Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  13. M

    Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
  14. K

    LGE2024 Leo nimetumia haki yangu kujiandikisha kwenye uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA. Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...
  15. Dkt. Gwajima D

    LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi...
  16. DAVID PALMER

    Matumizi yangu ya mwezi

    Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000 Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi Silipi kodi Total 1.1m Income 1.3m
  17. Andazi

    Phone4Sale Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04e

    Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1 Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake Ninashida na 180k tu Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
  18. N

    Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
  19. D

    Kumbe leo ni siku ya mfanano na siku ya kuzaliwa kwangu

    Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini. Mwenzeni...
  20. African businesses

    Msaada jamani biashara yangu inakufa

    Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo. Japo nilianza hii biashara ila nilijipa muda wa miaka mitatu kwamba labda ndio naweza kuona mwanga...
Back
Top Bottom